Advertisement

Responsive Advertisement

BENCHI LA UFUNDI LA TP MAZEMBE LILISHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA KATIKA UWANJA WA KASHALA BONZOLA

Miongoni mwa Wafanyikazi wa benchi la  ufundi na wachezaji wa TP Mazembe walishambuliwa na watu wasiojulikana katika Uwanja wa Kashala Bonzola Jumatano baada ya mechi yao ya ligi dhidi ya Sanga Balende,

Mazembe walishinda mechi hiyo kwa 1-0 kwa goli lililofungwa jioni mnamo dakika ya 95,

 Timu hiyo iliweza kuondoka uwanjani ila ikiwa chini ya ulinzi mkali  kwa kusindikizwa jeshi kutokana vitendo vya baadhi ya mashabiki wa timu pinzani kuwashambulia kwakile kilichoonekana hasira za kupoteza mchezo huo

Post a Comment

0 Comments