“Kwa kifupi naweza kusema, mshambuliaji wetu Prince Dube haondoki kwenda popote, akiondoka hapa ni kwenda nje ya nchi, Simba na Yanga hata watoe dau kubwa kiasi gani haondoki,” Abdulkarim Amin, Ofisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ wa klabu ya Azam
Wajumbe ogopeni matapeli aisee"
0 Comments