KLABU YA SIMBA SC YADAI POINTS TATU, LAZIMA

SIMBA YADAI ALAMA 03 LAZIMA ...
.
“ Dodoma Jiji ni timu nzuri lakini pamoja na ugumu na ubora wao lazima tupate alama tatu. Kila timu ambayo tunakutana nayo tunaenda kucheza kama ni fainali, tumeshasema nia yetu ni kutetea ubingwa. ”
.
- Kocha msaidizi Seleman Matola.
.
Mchezo huo utafanyika kesho, saa 1:00 Usiku ( Kwa Mkapa ) na viingilio ni :
.
- VIP A : 15,000
- VIP B& C : 10,000
- MZUNGUKO : 5,000

No comments