Beki bora wa miaka yote Shomari Salum Kapombe wa Simba SC, beki kitasa anaecheza mkono wa kulia (2) amesaini kandarasi mpya leo kuendelea kuitumikia Klabu ya Simba SC.
MPAKA SASA WACHEZAJI WALIOSAINI SIMBA;
Mohamed Hussein Tshabalala
John Raphael Bocco
Shomari Salum Kapombe
Post a Comment