UHAI NI MALI BINAFSI ✍

"Uhai ni mali binafsi ya kila mmoja wetu, siyo mali ya Kanisa wala Serikali. Ni jukumu na wajibu wa kila mmoja kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya magonjwa ya kupumua ambayo wengine huita pneumonia na majina mengine kadhaa."

Askofu Dkt. Benson Bagonza
#BinagoUPDATES

No comments