Kamanda Lazaro Mambosasa amesema hawataruhusu kufanyika kwa mbio za taratibu (jogging) Dar es Salaam katika siku za ibada (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa sababu vikundi hivyo vimekuwa vikiwachelewesha waumini kwenye nyumba za ibada, na wanapofika wanakuta ibada tayari imeanza.
#BinagoUPDATES
Post a Comment