TUCHUKUE TAHADHARI, TUSIWE WAOGA
Serikali imetoa msimamo wake kuhusu Covid - 19 na kusema haitachukua uamuzi wa kuwafungia Watanzania ndani, huku ikitoa maelekezo ya kuendelea kuchukua tahadhari
Hayo yamesemwa Jana Jamapili na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas
“Watanzania waendelee kuchukua tahadhari zote lakini tusiwe na woga wala tusichomekewe mawazo na mikakati ya watu wengine,” amesisitiza Dk Abbas.
#BinagoUPDATES
Post a Comment