SHEIKH HASSAN CHIZENGA; TUFUNGE SIKU TATU MPAKA CORONA ITAKAPOTOKOMEA

#HABARI :BAKWATA imesema haina budi misikiti kurejesha dua ya Kunuti katika swala zote tano kwa siku kama ilivyokuwa mwaka 2020 hadi #COVID19 itakapotokomea. Pia, Katibu wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Hassan Chizenga ametaka waumini kufunga kwa siku tatu kuanzia Machi 8 kama mwaka jana
#BinagoUPDATES

No comments