MCHEZO WA WYDAD CASABLANCA NA KAIZER CHIEFS KUPIGWA HUKO CAIRO

WAMEKUBARI...

Taarifa zinasema kuwa, FA ya Misri imekubali kukaribisha mchezo uliopigwa kalenda wa CAF CHAMPIONS LEAGUE kundi C baina Wydad Casablanca dhidi ya Kaizer Chiefs.

Mchezo huo utapigwa huko Cairo siku ya Ijumaa kwa mujibu wa FA ya Morocco.
#BinagoUPDATES

No comments