JAMAA ANAKULA KILO 8 YA WALI, CHAPATI 70
_
Mkazi wa Kirumba, Jijini Mwanza Issa Haruna, (27) maarufu kama 'Issa Mapilau' amethibitisha kuwa na uwezo wa kula chakula kingi tofauti na watu wengine.
“Nina uwezo wa kula kilo nne za wali ukiwa na maharage kilo mbili. Maji nakunywa jagi mbili kubwa, kifungua kinywa napiga hadi chapati 70 na chupa mbili za chai na kama ni vitumbua nakula deli mbili,”
"Nina uwezo wa kula ugali kilo nne, kunywa lita tano za maji; chapati 70 na kisado cha dagaa"
“Bahati mbaya mke wangu hayupo Mwanza kwa sasa, ila kikawaida tunapika kilo nane za unga wa dona, mtoto amefuata nyayo zetu kwa sababu anakula kilo moja,”
#BinagoUPDATES
Post a Comment