ELIZABETH MICHAEL "LULU" NA MAJIZZO WAFUNGA NDOA

MSANII maarufu wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni CEO wa EFM na TVE, Francis Antony Ciza a.k.a Majizzo leo Februari 16, 2021, katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach jijini Dar es Saalm. 
#BinagoUPDATES

No comments