BALOZI WA TANZANIA NCHINI DR CONGO AWAPONGEZA WACHEZAJI KWA USHINDI DHIDI YA AS VITA


Ni baada ya Simba SC kuibuka na ishindi wa bao 1 - 0 Dhidi ya AS Vita Club, ikiwa ni timu ya kwanza nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa klabu kushinda ugenini dhidi ya timu za DR Congo katika Mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika #CCL

#AnotherLevel


No comments