FAHAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia kwa dhamana Askofu wa Kanisa la Uamsho la Morovian, Emmaus Mwamakula baada ya kufanya upekuzi nyumbani kwake. Mwamakula alikamatwa kwa madai ya kuhamasisha kuandamana kudai katiba mpya, jambo ambalo ni kinyume na sheria.
#BinagoUPDATES
Post a Comment