Kili Marathon imetangaza kuwa itatoa barakoa kabla na baada ya mbio kwa wakimbiaji wote wa 'Full na Half Marathon' kutokana na wingi wa watu watakaoshiriki. Mbio hizo zinazokutanisha washiriki kutoka mataifa mbalimbali zitafanyika Februari 28, 2021 mjini Moshi.
#BinagoUPDATES
Post a Comment