TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA VIONGOZI WA KANISA LA EAGT

#HABARI TAKUKURU inafanya uchunguzi dhidi ya viongozi wa Kanisa la EAGT kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo rushwa, kutumia jina la kanisa kuingiza mali binafsi na kutokuwekwa wazi taarifa za mapato na matumizi. Leo TAKUKURU imemhoji Askofu Mkuu, Abel Mwakipesile na tayari imewahoji wengine.
#BinagoUPDATES

No comments