ANTONIO NUGAZ; HII NDIO YANGA

NUGAZ: HII NDIO YANGA YA SASA
 
"Wachezaji wetu wanakula mara 5 kwa siku, kifungua kinywa Asubuhi kabla ya mazoezi, wakitoka kwenye mazoezi wanapata chai ya Asubuhi kwa mujibu wa mtaalamu wa Afya, Mchana wanakula chakula kizuri. Saa 10 Jioni kabla ya mazoezi wanapata chai nzuri na usiku chakula cha nguvu, hiyo ndiyo Yanga ya sasa" 

 Antonio Nugaz.
#BinagoUPDATES

No comments