AGNES MARWA; TANZANIA HATUHITAJI KATIBA MPYA

TANZANIA HATUHITAJI KATIBA MPYA" Agness

Tanzania hatuhitaji katiba mpya bila maendeleo, Rais Magufuli aliona ni bora kufanya maendeleo kwa Watanzania, badala ya kutoa bilioni 400 kujadili katiba mpya yeye amejenga vituo vya afya. Katiba inasisitiza uzazi salama na sasa akina mama wanajifungua salama.

Mhe. Agnes Marwa
#BreakingNews #BinagoUPDATES

No comments