SERIKALI HAITAFUNGIA WATU NDANI
Tanzania haitafungiwa ndani shughuli ziendelee kama kawaida zile za burudani, michezo, ofisini mashambani ziendelee inapobidi kuchukua tahadhari maana kuna mtu yeye anatamani tu kwamba itangazwe amefungiwa ndani, wewe ukiona hutaki kutoka nje jifungiwe mwenyewe lakini msimamo wa Serikali haitafungia watu ndani.
Dkt. Hassan Abbas ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ✍...
#BinagoUPDATES
Post a Comment