Rozari ktk Kanisa la sasa

ROZARI NA TASHBIHA NI HIRIZI ZA KISASA ACHA KUTUMIA NI DHAMBI

(Ezekiel13:20) Bwana asema hivi Mimi ni kinyume na HIRIZI zenu,mnaziwenda roho za watu.

Mstari21,na Leso zeno nitazirarua.

SABABU ZA KUITWA HIRIZI:

(i)HAKUNA USHAHIDI WA KIBIBLIA. neno Rozar au Tashbiha bali wanaokoteza salamu ya malaika Gabriel kwa Maria bali hakuna kama unalo andika andiko na andika mstari wote,ukipata naacha kuhubiri.

(II)BIBLIA IMETOA MWONGOZO WA KUONGOZWA NA ROHO TU SIO VITU.
Imeandikwa tukiongozwa na Roho hatupochini ya sheria (wagaratia5:16-19).

(iii)TUMEPEWA MWOMBEZI WETU ROHO MTAKATIFU NA YESU TU SIO MWINGINE FAKE.
(Rumi8:26-28&yoh14:13&mdo4:12 jina la Yesu na Roho Mtakatifu tu.

(iv)YESU HAHITAJI KIAMBATANISHI
(Jina lake latosha limezidi majina Yote (filip2:9).

(V)HISTORIA YA ROZAR NA TASHBIHA IMEANZISHWA NA WATU SIO MUNGU TENA WAPAGANI,KAMA GREGORY NA MUDI 470&490 mwaka

(Vi)KANISA ALILOACHA YESU NA MITUME WAKE HAJAWAI HATA PETRO KIONGOZI HAKUTUMIA BALI ALISISTIZA JINA MOJA TU LA YESU (mdo4:12).

(Vii ) YESU ALIAGIZA WAABUDU WA ROHO SIO KWA VITU .
(Yoh4:24 )waabudu halisi watamwabudu katika Roho na kweli.

(Viii )WAGANGA ,WACHAWI HUVAA HAINA NGUVU KAMA JINA LA YESU NA WAZINIFU PIA.
(Mdo1:8)Nguvu imo kwa Roho mtakatifu.

Utadanganywa na HIRIZI mpaka lini?BIBLIA yaoingana nayo na haipo mbona unaleta hadithi za kizee na Mafundisho ya kishetani? (1timotheo3; 1-9 ),njoo okoka sasa acha HIRIZI na TOKA kwa SHETANI.

No comments