MANCHESTER UNITED WAHUSISHWA KUMRUDISHA CHRISTIANO RONALDO
Manchester United wanahusishwa na tetesi za kumrejesha Cristiano Ronaldo klabuni msimu ujao."
Ronaldo anaripotiwa kuhusishwa kuondoka Juventus huku kandarasi yake ikiwa inagikia ukingoni 2022."
TAKWIMU;
SERIE A
Mechi - 4
Magoli - 6
Assist - 1
UEFA Champions League
Mechi - 1
Magoli - 0
Assist- 1
European Championship, Qualification 2020/21
Mechi - 8
Magoli - 11
Assist - 0
Post a Comment