HATUTAKI VITI MAALUMU

Kufuatia taarifa zilizosambaa mitandaoni kwamba chama cha NCCR Mageuzi kitapewa nafasi 19 za ubunge wa viti maalumu ambazo Chadema imeonekana kuzisusia, Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. James Mbatia amesema kama wakipewa watazikataa nafasi hizo"

Viti maalumu vinapatikana kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, na kwa matokeo yaliyotangazwa NCCR hatujaqualify kupata hata kiti kimoja, hata kama tungepata matokeo yakutufanya tusistahili kupata viti maalumu, tusingevikubali kutokana na jinsi mchakato wa Uchaguzi ulivyonajisiwa - MBATIA"

NCCR Mageuzi hatuwezi kukubali kuw sehemu ya kuleta migogoro kwenye jamii kuhusu jambo hili - JAMES MBATIA"

Nini maoni yako? Unahisi ni kwanini kila mtu anavikataa hivi viti?

MAONI ...!
#BinagoUPDATES

No comments