Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Leo wamefanyiwa vipimo vya COVD-19 kuelekea mchezo wa kesho wa kufuzu AFCON 2021 dhidi ya Tunisia, utaratibu wa CAF timu inatakiwa kufanyiwa vipimo siku moja kabla ya mchezo."#BinagoUPDTES
Post a Comment