Rais Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na Papa Francis






Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongizi wa kanisa Katoliki ulimwenguni.
Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kioongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papap Francis kuhuru hali inayoendelea latika maeneo ya wapalestina
Rais Erdoğan amezungumza na Papa Francis kuhusu kuhusu mauaji ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza katika maandamano.
jiji la Yerusalemu kitovu za imani kubwa tatu ulimwenguzi hivyo kuna umuhimu mkubwa amani kudumisha katika mji huo kama inavyoamrisha na imani zote tatu.

Source;- Vatican news 🆕

No comments