Radi yaua watu 16 na wengine kujereuliwa katika Kanisa la wasabato Rwanda

Ni katika ibada kuu hile jumamosi ya tarehe 10,ambapo radi  kutokana na hile vua kubwa,hili leta madhara katika kanisa la kisabato pale Kigali- Rwanda! Na wengine kujerehuliwa,ni ajari mbaya sana iliyotokea!lakini kama wakristo tunashauliwa kizidi kuwakumbuka katika maombi yetu,kuwaombea wale waliojerehuliwa na kanisa kwa ujumla hili warudi nyumbani mwa Bwana mapema na kazi ya Mungu iendelee!

No comments