HABARI NJEMA KUTOKA BINAGO BLOG


 Tumerudi tena baada ya matengenezo ya muda mrefu yaliyokuwa yakifanyika kukidhi mahitaji, vigezo na kasi ya teknolojia ya sasa, Binago Blog ilikuwa kwenye matengenezo(Maintenance) ili kuendana na mifumo mipya ya kiteknolojia na hiyo ndio ikawa sababu ya kutokufanya kazi kwa muda mrefu.


Tunaomba sana radhi kutokana na changamoto iliyojitokeza kuwa haitojirudia tena, tunawasii watazamaji na wadau wa Binago Blog waendelee kutufuatilia na tunapenda kuwaambia kuwa sasa Mambo yako hewa.


Binago Blog na familia yote kwa ujumla wanapenda kuwatakia sherehe njema za mwisho wa mwaka na maandalizi mema ya mwaka 2025 Mungu awabariki.


Kwa matangazo wasiliana nasi kupitia 0629567302

No comments