🚨 HAYA HAPA π™ˆπ˜Όπ™…π™„π˜½π™ π™”π˜Ό π™†π™€π™Žπ™„ π™”π˜Ό π˜Ώπ™π˜½π™€



Mwanasheria wa Prince Dube, Respicius Didas amezungumza na waandishi wa habari mara baada ya kesi ya mchezaji huyo dhidi ya klabu ya Azam kusikilizwa na kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji.

Didas amesema pande zote mbili zimesikilizwa, majibu bado hayajatoka wameambiwa yatatoka Jumamosi April 20.

Kimsingi shitaka la Prince Dube kwa Azam ni kuhusu UHALALI wa mkataba .. 

Wakili Didas amesema wao wanatambua kuwa mkataba wa Prince Dube na Azam FC unamalizika July 2024. Ile extension hadi 2026 ilikosewa haiko kwenye SYSTEM. 

Azam FC wao wanasema mkataba wa Prince Dube unamalizika June 2026.

"Tumeiachia kamati ifanye maamuzi"

©️ Prince Dube (27) πŸ‡ΏπŸ‡Ό


No comments