🚨 Madrid waliingia na mbinu ya kujilinda, walihitaji penati tu
😢🎙" Kwa maoni yangu Real Madrid walitaka sare zaidi kuliko ushindi, Tulishituka kuwa wanaitaji mkwaju ya Penalty lakini walijua kuziba nafasi zao"
" Soka halihitaji Sifa ni mabao kwanza hatukudhani kuwa Real Madrid itaingia kwa mbinu ya kujilinda"..
" Real Madrid sare kwao ilikuwa ushindi walitaka kufika kwenye mikwaju ya Penalty na walifanikiwa"
🗣 Rodri
Post a Comment