BOIENG B737-Max KUWASILI TANZANIA


 Kuwasili kwa nddege mpya ya abiria aina ya Boieng B737-9 Max ya shirika la Ndege ATCL  nchini ambapo ndege hiyo inauwezo wa kubeba abilia 181 itawasili kesho kuanzia saa 4:00 asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. JK Nyerere Dar es Salaam (JNIA)




No comments