Moto mkubwa umeteketeza maduka zaidi ya matatu hapa Ubungo RiverSide.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo Jeshi la Uokozi na Zimamoto ndio wamefika muda huu.
Post a Comment