Advertisement

Responsive Advertisement

SIMBA KUSHUSHA KIUNGO KUTOKA IVORYCOAST


- Kiungo wa ulinzi, Banfa Sylla anamaliza mkataba wake na klabu yake ya MAS Fes mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu ya Simba inahitaji huduma yake.


- Klabu ya Simba imeanza mazungumzo na Menejiment ya Banfa Sylla ili kuipata saini ya kiungo huyo wa ulinzi dirisha lijalo la usajili na wameshatuma ofa.


- Simba inahitaji kuipata saini ya Kiungo wa ulinzi Banfa Sylla ili kuimarisha safu ya kiungo kuelekea kwenye michuano mbalimbali, Simba wametuma ofa rasmi kwa Menejiment ya mchezaji huyo.


- CHAPTER SYLLA is officially open, Simba want to complete this deal on time.

Post a Comment

0 Comments