"Man United walinitumia" Sheikh Jassim
Sheikh Jassim ameiandikiwa Barua klabu ya Manchester United akieleza kuwa Man United ilimtumia yeye kama kukuza Bishara yao na sio kwamba walitaka kumuuzia klabu yao, Walimtumia kwa Lengo la kuongeza Thamani ya Hisa ndogo kuziuza kwa Bei kubwa na kamwe si kumuuzia,⛔️
"Kamwe Hawakutaka kuniuzia Manchester United na wakanitumia ili kuongeza Thamani ya klabu yao kwa lengo la kuuza hisa ndogo kwa bei ya Juu"🇶🇦
🗣Sheikh Jassim
Post a Comment