NI REKODI IPI HAITOTOKEA KUVUNJWA
> NI REKODI IPI HAITOTOKEA KUVUNJWA 👇👇
👉Giggs kufunga magoli 100+ Bila
Hat-trick hata moja
👉Ramos kupata yellow card 26
Ktk mech 38 pekee
👉spurs kudumu miaka 58 Bila
Taji La ligi kuu UINGEREZA
👉Mess kufunga magoli 91 Ndani
Ya mwaka mmja tu wa
Kalenda Ya FIFA
👉KANU kushiriki AFCON Mara 6
Bila kufunga goli lolote lile
👉Lewandowski kufunga goli 5
Ndani Ya dkk 9 pekee
👉Jesse Lingard kucheza mech
25 Bila short on target hata 1
Mech za ligi
👉Eric Bailly kuweza kuupiga
Mpira mpaka kutoka nje
Kabisa Ya uwanja
👉Liverpool kukusanya point 97
Na kuukosa ubingwa EPL
👉Zlatan Na CR7 kufunga bao
Kila dkk Ya mchezo kuanzia
Ya 1-90
👉Mane kufunga Hat-trick ndan
Ya dkk 2 pekee
👉Zidane mpaka kustaafu kwake soka La kulipwa hakuwahi
Kuwa offside
👉Madrid kutwaa ubingwa UEFA
Mara 3 mfululizo
👉Thomas sweswe mchezaji klabu Ya kaizer chiefs kucheza dkk 90 za mchezo Bila kugusa Mpira hata Mara moja
✊ kwako mdau 🔻🔺
Post a Comment