Siku kama ya leo miaka miwili iliyopita, Bruno Fernandes alijiunga na Manchester United kwa dau la €80M. 🇵🇹 🏟️ Mechi: 108⚽ Magoli: 63🎯 Assists: 52✅ Hakuhitaji kuzoea mazingira✅ Hakuhitaji muda✅ Namba zake hazidanganyiExceptional Player 🔥
Post a Comment