IFAHAMU HISTORIA FUPI YA MR. BLUE KWENYE TASNIA YA BONGO FLEVA

Engo ya Gus Poyet na hii ni tasmini fupi ya Mr. Blue Young Baberon na harakati za kuupambania mziki wa bongo fleva kutoka ulipotoka na hadi kuuleta apa ulipo mabibi na mabwana napenda kuwasalimu kwanza kabla atujaendelea na mpango mzima wa kuwaletea hii Stori.

Mnaonaje kuhusu hali zenu ninatumaini kwa vyovyote mtakuwa wazima wa afya, ishu ipo ivi muasisi wa Muziki wa kuimba yani nikiwa na maana sio mchanaji kwa lugha nyingine Hip Hop ni Duly Sykes au ukipenda Brothermen.

Lakini Mr. Blue Baberon Beas ndio muasisi wa kusheini a.k.a mitupio katika Bongo Fleva kwani yeye ndio aliowaonyesha wasanii wa Bongo Fleva ata wale ambao ni masela wanatakiwa wavaeje pindi wanapokua stejini wakifanya show au ata mitaani katika matembezi yao.

Nakumbuka Mr. Blue wakati anaachia ngoma yake ya kwanza kabisa inayokwenda kwa jina la bluu bluu kipindi icho kwenye nchi ya Marekani (USA) kuna Wanamuziki waliokua wadogo wakati huo mmoja alikua anaitwa Lil Bow wao na mwingine Lil Lomeo awa walikua Wanamuziki wadogo kipindi icho na walikua wanalingana tu kiumli na Mr. Blue ata kama waliachana kiumli basi ni kidogo sana.

Sasa nikufaamishe kuwa wale Wanamuziki watoto kutoka nchini Marekani ambao kwa kifupi Mr. Blue  ndio alianza nao katika Career yake ya Muziki ndio ikamsababisha mwamba aichukue copy and pest kutoka kwao na kuiamishia kwenye Bongo Fleva  yetu.

Kuanzia hapo kikawa chanzo cha unyamwezi mwingi mitupio ya kwenda na ndio mpaka sasa wasanii wa Bongo Fleva wanaishi humo wasanii wa Hip Hop nao wanaishi umo Wasanii wa Maigizo, Taharabu hadi wagumu masela waliojipindia nao sasa ivi sio wachafuwachafu tena iyo yote ni kupitia kwako @mrbluebyser1988 kweli.

Darasa lako ulilotoa ni kubwa mno na unavyosema kurap ujaanza juzi unamaanisha jeshi langu daah yani tangu bwana joti ayajui makuzi saida karoli nae azijui karanga ata t.m.k nao pia awayajui mapanga kweli wewe Young Baberon kwa sababu umeanza mziki ata baazi ya kaka zako kwenye fani bado awajaingia kwenye fani iyo.

Imeandikwa Na Mwanahabari wa Binago TV/Blog Kutoka Mkoani Morogoro, Mr. Pembe Seleman Machupa...✍

No comments