CHANNEL ZA AZAM TV ZAANZA KURUSHWA BINAGO TV APP

Hii ni Habari Nzuri, Njema, Pendwa na Kubwa kwenu Wapenzi na Wafuatiliaji wa Binago Blog/TV.

Kwa sasa Channel zote za Azam TV Zipo hewani kuanzia sasa Kwenye APP Ya BINAGO TV Kuanzia, Sinema Zetu, Azam Sports HD 1, Azam Sports HD 2, Azam 2, Azam 1, ZBC 2, Wasafi TV, Clouds TV, UTV, Sony Max, Star Gold na Nyingine Sana Na Hizi ni baadhi tu ambazo nimekutumia zipo nyingi sana.

Kwa sasa hauhitaji Kununua King'amuzi wakati Binago tupo Kwenye APP Tu Unacheki Bila Admission yoyote ile.

Wapenzi wa Ligi Kuu Nchini Tanzania (NBC), Maigizo, Vichekesho, Burudani, Tamthilia Na Muziki ni Habari Njema Kwenu.

Washtue Wadau wako wa karibu waambie Mchongo Wote Upo Huku..😀👊

NB;- Kwa Maelekezo zaidi Tafadhali Download APP Ya Binago TV Kupitia Play Store. Watumiaji wa APP Store bado itakapokuwa tayari tutawajulisha.


No comments