Waziri Mkuu Kassim Majliwa jana Agosti 04, 2021 amekwenda nyumbani kwa marehemu Biswad Msuya, Kaka Mkubwa wa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha mpendwa wao, Mbezi Beach jijini Dar es salaam
Akizungumza na wafiwa na waombolezaji katika msiba huo Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa amepokea taarifa ya kifo cha marehemu Biswad kwa mshtuko mkubwa na amewataka waombolezeji wamuombee mke wa marehemu na familia ili awape utulivu na uvumilivu wakati huu wa majonzi.
0 Comments