Advertisement

Responsive Advertisement

LIGI KUSIMAMA, KUPISHA MECHI ZA KIMATAIFA

Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa pamoja zimekubaliana Ligi kusimama kila ambapo timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya kimataifa zitakapokuwa na michezo hiyo ya kimataifa ili kuondoa viporo kwa baadhi ya timu hasa zitakazokuwa zinashiriki CAF Champions League na CAF Confederation Cup.

Mtendaji wa Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amesema malengo yao makubwa msimu huu ni kukomesha viporo jambo ambalo limekubaliwa na Wenyeviti wa vilabu vyote vya Ligi Kuu ambao walishiriki kikao na Bodi ya Ligi.

Post a Comment

0 Comments