Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amelazwa katika hospitali nje ya Kituo cha Estcourt ambapo amekuwa akitumikia kifungo chake cha miezi 15 jela huko KwaZulu-Natal.
Zuma alitakiwa kufika katika Mahakama Kuu huko Pietermaritzburg kwa mashtaka ya ufisadi unaohusiana na mkataba wa silaha uliofanywa na kampuni ya Ufaransa ya Thales mnamo Jumanne wiki ijayo.
Zuma anakabiliwa na mashtaka 16 ya ulaghai na Ufisadi.
0 Comments