Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Pamba ni moja ya zao ambalo kwa muda mrefu limekua likichangia uchumi kwa kuleta fedha za kigeni.
"Zao hili linalimwa katika wilaya 57 katika nchi yetu na kwa historia ni zao lilofikisha uzalishaji wa uzalishaji Tani 350,000 kwa 2019/2020, kwa 2020 lilishuka mpaka Tani 120,000 na bei ya mkulima kwa kilo ilishuka mpaka Tsh 800, hii ilipelekea wakulima kukata Tamaa."
"Changamoto kubwa ambazo zinaikaibili sekta hii ni;-Tija, Uwezo wa wakulima kuhudumia zao lenyewe, Mfumo wa Soko"
"Hatua tulizochukua kama Serikali ni:
1) Kubadili mfumo wa Soko na kuruhusu ushindani
2) Tumewapatia wakulima Mbegu na Dawa bila wao kulipia na kutumia PPP kugharamia pembejeo ili kupunguza gharama za kuhudumia zao kwa mkulima.
3)Kutoa Elimu kupitia TARI UKILIGURU na semina za wakulima vijijini zikihusisha na mabwana shamba, zoezi ambalo litaendelea mpaka mwakani April."
Matokeo ya hatua hizi kwa sasa ni;

"Mwaka huu kwa Mara yakwanza wakulima wamepata Bei ya Tsh 1500 kwa kilo na mfumo wa Malipo ni cash (hakuna kukopwa)"
"Matarajio yetu Msimu ujao 2021/2022 utakua Bora zaidi"
"Nawashukuru sana wakulima wa Pamba kwa kuanza kuelewa umuhimu wa Tija na matumizi ya Mbegu Bora "
"Katika zao la Pamba pia napenda kuzishukuru Taasisi za Fedha CRDB, NMB, TADB, NBC na AZANIA kwa kushiriki katika kutengeneza (Hybrid Financing model), yenye thamani ya Tsh bilioni 36, ambayo ilifanikisha kuwapatia wakulima dawa na mbegu, ambazo zinalipiwa na zao bila mkulima kukatwa hata senti moja pale anapouza mazao yake wala kulipia riba"
"Huu mfumo ni wa kugharamia zao na zao kujiendesha bila mkulima kukopa Benki, thamani (VALUE) ya zao ndio inakua dhamana ya mkulima.
Tunaendelea kuutazama kwenye pamba na korosho na tukifanikiwa tutajitahidi kuutumia kwenye mazao mengine ili Sekta ya KILIMO ijiendeshe na wakulima kupata Pembejeo na mbegu kwa Gharama nafuu na kwa wakati"
'"Tunajitahidi kuwatumikia na binafsi ninafuraha Leo, kila anayeuza anapata Malipo yake moja kwa moja (cash) na Pia ushindani ni wawazi makampuni yanashindana"---- BASHE

0 Comments