ZANZIBAR KUIMARISHA MAZAO YANAYOENDANA NA UCHUMI

Rasilimali za Baharini lililopo Maruhubi Kisiwani Zanzibar, Mhe. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema atanufaisha azma ya kuifanya Zanzibar kuwa kituo cha kuzalisha mazao ya baharini yatakayoendana na Uchumi wa Buluu. 

"Miongoni mwa kazi za taasisi hiyo ni pamoja na kufanya utafiti wa rasilimali za bahari na kutoa vyeti vya Ithibati vya ubora wa mazao ya baharini, kwa wawekezaji watakaokuja kuwekeza katika Viwanda vya kusarifu samaki" --- MWINYI

Ikiwa ni mwendelezo wa Ziara ya kukagua Miradi ya Serikali na kusikiliza changamoto zinazowakabili Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi , Maruhubi Zanzibar.

No comments