WACHEZAJI 16 WA POLISI WAPATA MAJERAHA, WALAZWA KCMC

Leo majira ya saa 11:00 asubuhi timu ya Polisi Tanzania imepata ajali wakati ikitoka mazoezini kwenye uwanja wa TPC uliopo kwenye Kiwanda cha sukari TPC Moshi na kupelekea majeruhi kwa wachezaji 16 ambao ni

1. Gerald Mdamu - amevunjika miguu yote miwili
2. Abdullazizi Mkame
3. Pius Buswita
4. Daruweshi Saliboko
5. Deusdedity Cosmas
6. Salum Ally
7. Abdulmaliq Adam
8. Idd Mobby
9. Marcel Kaheza
10. Shabani Stambuli
11. Yahaya Mbegu
12. Datusi Peter
13. Mohammed Bakari
14. Mohammed Yusuph
15. Kassim Haruna
16. Christopher John
17. George Mketo - dereva
18. Vicente Ngonyani - dereva

Wachezaji wote hawa wapo KCMC wakiendelea na uchunguzi wa daktari, chanzo cha ajali kinachunguzwa.


No comments