JOHN HECHE APONGEZA MITUNGI KUINGIA TANZANIA

Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Mhe. John Heche amepongeza hatua hii ya haraka iliyochukuliwa kuongeza mitungu ya gesi Bugando kuokoa maisha ya watu.

"Ni muhimu sasa hospital zote za Mikoa na wilaya zipelekewe mitungi ili kupunguza msongamano kwenye hospital za rufaa"

"Madkatari wapewe vifaa vya kujikinga wawapo kazini, Maisha ya binadamu mmoja yana thamani kuliko kitu chochote"

Aidha, ameomba watu wahamasishwe kujikinga na ugonjwa huu hatari,wavae Barakoa na kunawa mikono mda wote, mikusanyiko isiyo lazima ipunguzwe.

No comments