TUKIO ZIMA KONGAMANO LA TOZO NCHINI
HII NI #LIVE KUTOKA KONGAMANO LA TOZO NCHINI, KUPITIA MTANDAO LA TWITTER
YANAYOJIRI SASA HIVI
*TOZO ya makato kwenye kutuma na kupokea PESA,100 hadi 10,000 kutokana na ukubwa wa Pesa iliyotumwa au kutolewa,TOZO IMESHAPITISHWA.
*TOZO ya makato kwenye mafuta ya Taa inayosababisha mafuta ya kula kupanda
*TOZO ya mazao na mbolea
*TOZO ya kila laini, kukatwa kutokana na kuweka vocha kuanzia 10 hadi 100,TOZO MPYA INAYOKUJA
*TOZO ya JENGO Kupitia LUKU.kulipwa kwa kila mwenye atakae nunua luku,hata kama ni mtoto au raha,ukinunua tu Luku TOZO itakatwa.
TOZO MPYA INAYOKUJA
#tanzania #kenya #africa
Post a Comment