Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) ilivyotangaza kuwa leo Julai 18, 2021 ndio siku maalum ya kukabidhi rasmi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom 2020/2021 kwa klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam.
Simba ambao walitwaa ubingwa huo Julai 11 baada ya kufikisha alama 79 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Coastal Union FC, muda huu wanakabidhiwa Kombe hilo na Medali baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Namungo FC.
0 Comments