Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe. John Pambalu, amesema mpaka sasa wamepokea kiasi cha TSH. 508,000/=.
"----->Makamanda wetu wote wamepata huduma ya chakula na vinywaji. Baadhi yao wanaumwa tumewapatia madawa"
"Tunaomba muendelee kutuchangia kwa simu 0758146839 Chadema Victoria. Au CRDB 0150335231900 CHADEMA KANDA YA ZIWA."---- PAMBALU
0 Comments