Advertisement

Responsive Advertisement

JOHN BOCCO ASEMA HAIKUWA KAZI RAHISI KUCHUKUA UBINGWA

Siokitu kidogo na haikua kazi rahisi,malengo imani pamoja na kujituma ndio chanzo cha mafanikio yetu"

"Niwapongeze wachezaji benchi la ufundi pamoja na viongozi wetu kwa ujumla pia pongezi nyingi sana nizipeleke kwa mwenyekiti wetu pamoja na bodi yake yote kwa kazi kubwa yakutufanya sisi kuwa bora zaidi kwa kila msimu"

"Mmwisho kabisa nipeleke shukrani zetu kwa mashabiki wetu wote 🦁 umoja na dua zenu zimetufanya tuwe bora kila wakati 🙏"

"Tunaheshimu sana mchango wenu kwetu na tunajivunia sana kupata nafasi ya kuipigania club yetu."---- John Bocco

Post a Comment

0 Comments