TUSHASEMA TUEPUKE MISONGAMANO-PROF. ABEL MAKUBI

"Wizara ya Afya tumeshasema Wananchi tuepuke misongamano mikubwa hivyo wanaoandaa shughuli zenye watu wengi na kusababisha misongamano mikubwa ni vema wakafikiria mara mbili"

“Nashauri kitalaamu Viongozi wa Kijamii, Wanasiasa na Wale wa Kidini Watafakari vyema kama kweli wanaulazima wa kufanya Mikusanyiko Mikubwa kwa wakati huu” --- Prof. Abel Makubi,Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

No comments