BW. VITUS NKUNA AACHIWA HURU
Katibu wa Bavicha Taifa, Wilaya ya Iringa Mjini Bw. Vitus Nkuna ameachiliwa huru tangu jana bila masharti yoyote.
Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa pia pongezi za dhati kwa Wakili Advocate Jebra pamoja na Emmanuel Chengula, waliokuwa wanamsimamia Bw. Vitus Nkuna.
Ata hivyo, Bw. Vitus Nkuna aliomba Polisi wampeleke kwenye Gari lake ili akavae T.shirt ya katiba Mpya, CHADEMA wamesema kitendo hicho ni kitendo cha kishujaa sana, kwa sababu moyo wa Vitus unaamini katika mapambano.
Post a Comment