Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS WA HAITI JOVENEL MOISE AUAWA

Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio ambalo limefanywa kwenye makazi yake Port-au-Prince. 

Waziri Mkuu wa mpito wa Taifa hilo Claude Joseph, ambaye ndio anaongoza Taifa kwa sasa amesema watu waliofanya shambulio hilo hawajatambulika haswa ni kina nani ila ni wanajeshi wanaume.

Post a Comment

0 Comments