RAIS MWINYI AAHIDI KUJENGA UPYA NYUMBA ZENYE UCHAKAVU

Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Huseein Ali Mwinyi amepata fursa ya kuzitembelea nyumba za Maendeleo maeneo ya Kilimani na kuona hali ya uchakavu unaozikabili nyumba hizo zilizojengwa mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

"Katika mazungumzo yangu na wananchi wa maeneo hayo nilitoa wazo la kuja na mradi mpya wa Ujenzi wa nyumba za kisasa katika eneo hilo, ili ziweze kuchukua nafasi ya nyumba zilizopo hivi sasa"--- MWINYI

No comments